19 Februari 2026 - 18:12
Simulizi ya Mabadiliko ya maisha ya Muimba Mziki na Rapa kutoka Madagascar baada ya kuhudhuria katika Majlisi ya Maombolezo ya Imam Hussein(a.s)+Video

Rapa mmoja kutoka Madagascar ameeleza kusilimu kwake baada ya kuhudhuria Majlisi ya Maombolezo ya Imam Hussein ibn Ali (as), akigusiwa na uzoefu wa kiroho wa hafla hiyo.

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA-Katika kipindi cha televisheni, ilisimuliwa hadithi ya kusilimu kwa mwanamziki na rapa mmoja kutoka Madagascar baada ya kushiriki katika Majlisi ya maombolezo ya Imam Hussein ibn Ali(as).

Simulizi hiyo inaelezea namna uzoefu wa kiroho na mazingira ya ibada katika hafla hiyo yalivyomgusa na kumshawishi kubadili imani yake, jambo lililopata mwitikio mkubwa miongoni mwa watazamaji.

Your Comment

You are replying to: .
captcha